Matumaini ya vyama vya upinzani kuunda mseto ili kukikabili Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kama ...
Ni mtikisiko! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya sintofahamu kutawala miongoni mwa watumishi waliokuwa chini ya miradi ya ...
Zikiwa zimepita siku tatu tangu Rais Samia Suluhu Hassan atoe agizo kwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo ...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra), imesema mwaka huu itaanza kufunga mfumo wa kufuatilia mwenendo wa gari (VTS) ...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema ripoti ya Tume ya Haki Jinai inadhihirisha kuwa, utendaji ...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema kupitia sera zake imetoa kipaumbele miradi ya biashara na vivutio ...
Shirika la Uwezo Tanzania limeanisha maeneo saba yanayopaswa kufanyiwa mabadiliko katika Sera ya Elimu ya Mwaka 2014, toleo ...
Kaimu Jaji Mfawidhi Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Morogoro, Amir Mruma amesema wananchi wengi hawajui haki zao katika kupata huduma muhimu ikiwemo umeme na maji.
Jumla ya asasi 157 za kiraia zimepewa kibali na Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa ajali ya kutoa elimu ya mpigakura ...
Beki wa Simba Shomary Kapombe amefunga bao la tatu kwanye ligi msimu huu baada ya kuiongoza timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United, huku timu hiyo ikirejea kileleni ...
Jeshi la Polisi mkoani hapa, limezuia kuzikwa kwa miili ya watu watatu wanaodaiwa kufariki kwa kunywa pombe yenye sumu, hadi ...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa tahadhari za kimazingira na namna watu wanavyoweza ...