News

Maelezo ya picha, Siku hizi hina ya kuchora kwenye vitambaa ndiyo inayolipa. 3 Machi 2015 Kwa miongo kadhaa Wanawake wa Tanzania waishio Visiwani Zanzibar,wamekuwa wakijiremba mikono na miguu yao ...
Urembo wa kupaka Hina si utamauduni mpya katika maeneo mengi barani Afrika haswa pwani, kwa muda mrefu wachoraji wa mapambo ya Hina wamekuwa wanawake, lakini hivi sasa hali ni tofauti ambapo ...