ASKOFU wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar, Michael Hafidh, amenusurika katika ajali mbaya iliyotokea juzi Handeni, Tanga ikihusisha basi la abiria na lori na kuua watu 11 na wengine 13 ...
Katika kampeni zake, mama huyo wa watoto watatu ambaye awamu iliyopita alikuwa mjumbe wa serikali ya mtaa huo, alinadi sera zake, akiahidi kutatua kero alizozitaja kuwa kikwazo kwa wananchi kufanya ...