Vita nchini Ukraine vimekuwa vikiendelea kwa miaka mitatu sasa, na kila rasilimali inahitajika ili kushinda. Kwa upande wa Ukraine hali kuhusu silaha na pesa ilionekana kuwa thabiti zaidi hasa ...
Kyiv na Washington zinakaribia kutia saini mkataba utakatoa nafasi kwa Marekani kunufaika na madini ya Ukraine, kwa mujibu wa waziri wa Ukraine. Olga Stefanishyna, Naibu Waziri Mkuu wa Ukraine ...
Katika kuadhimisha miaka 20 ya mafanikio haya, WHO itaandaa hafla maalum Februari 27, ikijumuisha mjadala wa moja kwa moja na mwangaza wa kisanii wa mnara wa Jet d’Eau huko Geneva kwa rangi za WHO ...
JESHI la Polisi Mkoa wa Geita, linawashikilia watu watatu wa familia moja kwa tuhuma ya mauaji ya baba yao mzazi Hussein Bundala, mwenye umri wa miaka 103. Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita, Kamishina ...
Harakati za diplomasia za kumaliza uvamizi kamilifu wa Urusi dhidi ya Ukraine zimeendelea leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa kwa Baraza Kuu na lile la Usalama kuwa na vikao mahsusi, ikiwa leo ...
MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Gambo amesema ndani ya miaka minne ya utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkoa wa Arusha kwa ujumla hisusani jimbo lake wamekuwa wanufaika wakubwa wa miradi ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Bahati Nasibu ya Taifa Tanzania imetangaza ushirikiano wa kimkakati na Mixx by Yas, hatua muhimu inayolenga kuimarisha upatikanaji wa huduma ...