Zamani maneno haya ungeyakuta kwenye kanga, kawa au kipepeo tu. Lakini siku hizi unayakuta yameandikwa pia nyuma ya pikipiki hizi na kugeuka burudani kubwa miongoni mwa watumia barabara.