Zidane ni mongoni mwa mameneja 10 tajiri zaidi duniani. Kwa jina maarufu Zizou ni mchezaji wa zamani wa Ufaransa. Akiwa mkufunzi amekuwa akipokea €23M kwa mwaka na ana thamani ya €62m ...
Real Madrid ilishinda mabao 3-1 huku Gareth Bale akifunga magoli mawili Real ni timu yenye mafanikio zaidi kwenye historia ya ligi ya mabingwa ikiwa na mataji 13. Zidane alisema:''hii ni klabu ya ...
Zidane amesema kuwa miaka 20 akiwa Bernabeu ilikuwa "ndiyo kitu kizuri zaidi kuwahi kumtokea" maishani mwake na kwamba "ataendelea kuwa mwingi wa shukrani "kwa rais wa Real Florentino Perez.
MSHAMBULIAJI chipukizi wa Azam, Zidane Sereri amesema kama kuna beki anayemuumiza akili inapotokea wanakutana katika mechi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results