Kwa miongo kadhaa Wanawake wa Tanzania waishio Visiwani Zanzibar,wamekuwa wakijiremba mikono na miguu yao kwa hina. Wanapopaka hina mwilini, baada ya muda fulani hufifia lakini kundi moja la ...
Urembo wa kupaka Hina si utamauduni mpya katika maeneo mengi barani Afrika haswa pwani, kwa muda mrefu wachoraji wa mapambo ya Hina wamekuwa wanawake, lakini hivi sasa hali ni tofauti ambapo ...